Duniani Leo : Juni 10 : Rais Biden aendelea na ziara Ulaya

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden aendelea na ziara yake ya nchi za Ulaya na akutana na Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson.
- Nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki zasoma makadirio ya mapato na matumizi ya serikali ya 2021/22.

-Mataifa ya Afrika yatahadharishwa juu ya wimbi la tatu la maambukizi ya corona.