Duniani Leo Julai 27, 2020

Your browser doesn’t support HTML5

- Shughuli za kuuaga miili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Benjamin Mkapa zinaendelea.
- Serikali ya Sudan imetuma wanajeshi zaidi katika mkoa wenye machafuto wa Darfur.

- Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha Chadema, Tundu Lissu alakiwa kwa shangwe kubwa akitokea Ubelgiji.