Duniani Leo : Julai 14 : Biden ahimiza kupitishwa sheria ya haki za upigaji kura

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani aendelea kuhimiza kuidhinishwa kwa mswaada wa sheria kuhusu haki za upigaji kura.
- Tanzania yaadhimisha kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kufariki hayati Rais Benjamin Mkapa.

- Rais wa Iran anasema anamatumaini makubwa kuwa mrithi wake ataendelea na mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia na mataifa husika.