Duniani Leo ; Julai 12: Maandamano : Raia Cuba wapinga utawala, uchumi wadorora

Your browser doesn’t support HTML5

Maelfu ya raia wa Cuba washiriki maandamano makubwa zaidi dhidi ya uongozi huku uchumi ukizidi kudorora.