Duniani Leo : Julai 1 : Waasi wa ADF wadaiwa kuua watu 10 Beni, DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Watu 10 wauwawa katika shambulizi linaloshukiwa kutekelezwa na waasi wa ADF, mjini Beni, DRC.
- Zaidi ya watu 100 waliokuwa wametekwa na waasi nchini Msumbiji waokolewa.

-Tunakuletea Tathmini na mustakbali wa uongozi wa Rais Samia baada ya siku 100 ofisini.