Duniani Leo Julai 04, 2020

Your browser doesn’t support HTML5

Chama cha Maendeleo na Demokrasia Tanzania, Chadema, kimempitisha Makamu wa Mwenyekiti Tundu Lissu kugombea nafasi ya urais Tanzania.