Duniani Leo: Jan 27: Jeshi la Congo lapambana na waasi wa M23 kwa siku ya tatu

Your browser doesn’t support HTML5

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, limeendelea na mapigano dhidi ya waasi wa M23 kwa siku ya tatu Kivu Kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
- Mizoga ya wanyama yaonyesha uharibifu ulioletwa na mafuriko nchini Kenya.

- Idadi ya watu waliofariki kutokana na kimbunga Ana huko Msumbiji, Madagascar na Malawi imefikia 70.

- Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya Kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari