Duniani Leo: Jan 20: Biden ana wasiwasi Russia inaweza kushambulia Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden amesema ana wasiwasi mkubwa kwamba Russia inaweza kushambulia Ukraine wakati wowote.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari