Duniani Leo: Jan 12: Rais Biden apambania mswaada mpya wa haki ya kupiga kura

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden apambania mswaada mpya wa haki ya kupiga kura Marekani huku Warepublikan wakiweka mazingira magumu.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari