Duniani Leo: Jan 10: Marekani na Russia kuzungumzia mvutano wa Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Wawakilishi wa Marekani na Russia wanakutana kujadili mivutano kwenye mpaka wa Russia na Ukraine.
Shule zafunguliwa Uganda baada ya kufungwa kwa takriban miaka miwili kutokana na janga la Corona.

Mashirika ya kutoa misaada yasitisha shughuli zake Tigray kufuatia mashambulizi ya makombora.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari