Duniani Leo: Feb 2: Waasi wa Codeco waua raia 60 DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Waasi wa Codeco nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameua raia 60 wamefariki Jumatano ambao walikoseshwa makazi kutokana na vita.
- Watu 25 wafariki baada ya waya wa umeme kukatika na kuanguka katika soko nje kidogo ya mji mkuu wa Kinshasa DRC.
- Jaribio la mapinduzi ya kijeshi nchini Guinea Bissau lafeli.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari