Duniani Leo: Disemba 31: Biden na Putin wafanya mazungumzo

Your browser doesn’t support HTML5

Marais wa Marekani na Russia wafanya mazungumzo Ukraine ikiwa kwenye ajenda.
- Moto mkubwa wahatarisha maisha huko Colorado.
- Dunia yaukaribisha mwaka mpya wa 2022 huku kesi mpya za COVID-19 zikmongezeka.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari