Duniani Leo : Disemba 3 : Afrika Kusini yaingia katika wimbi la nne la COVID-19 - Waziri

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Afya wa Afrika Kusini anasema nchi hiyo inaingia katika wimbi la nne la COVID-19 kufuatia aina mpya ya virusi vya omicron
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari