Duniani Leo : Disemba 29 : Kiongozi wa zamani wa Baraza la Seneti Reid afariki

Your browser doesn’t support HTML5

Kiongozi wa zamani wa walio wengi katika Baraza la Seneti la Marekani na mbunge wa muda mrefu wa Nevada Harry Reid afariki dunia akiwa na miaka 82.
- Matukio muhimu yaliyojiri Tanzania mwaka 2021.

- Rais wa Israeli apongeza mkutano kati yake na Palestina

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari