Duniani Leo : Disemba 13 : Dharuba kali yayakumba majimbo sita Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Shughuli za uokoaji zinaendelea katika majimbo sita ya Marekani yaliyokumbwa na dharuba kali mwishoni mwa wiki.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari