Duniani leo : Biden aahidi kuendeleza ushirikiano na Umoja wa Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden aahidi kujenga ushirikiano kati ya nchi yake na Umoja wa Afrika.
Waziri wa Biashara wa Korea Kusini ameondoa ushindani wake kuwania nafasi ya uongozi katika Baraza la Biashara la Dunia.

Serikali ya Misri imemwachia muandishi wa Al Jazeera baada ya kushikiliwa kwa miaka minne.