Duniani Leo August 6, 2021

Your browser doesn’t support HTML5

Hii leo kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha upinzani cha CHADEMA nchini Tanzania Freeman Mbowe, leo imeahirishwa kwa mara nyingine tena baada ya upande wa Mashtaka kuieleza Mahakama kuwa hawajakamilisha baadhi ya mambo ikiwemo taratibu za kufungua kesi ya Ugaidi katika Mahakama kuu.