Duniani Leo : Aprili 29 : Biden aeleza umuhimu wa mpango wa miundombinu na ajira

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden asisitiza juu ya umuhimu wa kupitisha mpango wake mkubwa wa ukarabati wa miundombinu na kubuni ajira.
-Ethiopia yadaiwa kuwakamata na kuwashikilia bila ya kuwafungulia mashtaka maelfu ya raia wake huko Tigray kwa miezi kadhaa.

-Rais wa Afrika Kusini amekubali chama tagala kilishindwa kuzuia rushwa wakati wa utawala wa Jacob Zuma.