- Idadi ya maambukizi ya corona Tanzania imefikia zaidi ya watu 480, wakati serikali ikiwaonya wanaosambaza video ambazo sio za kweli kuhusu maambukizi nchini humo.
Duniani Leo Aprili 29, 2020
Your browser doesn’t support HTML5
- Rais Trump aeleza Marekani inaamaabukizi ya juu zaidi kuliko nchi nyingine duniani kwa sababu imefanya vipimo zaidi vya COVID-19.