Waziri Mkuu wa Uingereza awataka raia wa nchi hiyo kufanya uvumilivu kwani wanakaribia kushinda mapambano dhidi ya janga la corona
Duniani Leo Aprili 27, 2020
Your browser doesn’t support HTML5
Majimbo kadhaa Marekani yanatarajia kuruhusu shughuli za kawaida kuanza wakati wataalam wa Afya watahadharisha uwezekano wa mlipuko mpya.