Duniani Leo : Agosti 30 : Kimbunga Ida cha sababisha uharibifu baadhi ya majimbo Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Kimbunga kikubwa kuwahi kutokea katika pwani ya Marekani, Ida, cha sababisha uharibifu katika baadhi ya majimbo ya kusini.
-Serikali ya Tanzania yasema inatoa data za ugonjwa wa COVID-19 kwa Shirika la Afya Duniani, WHO.
Maamuzi ya Rais wa Marekani Joe Biden dhidi ya Aghanistan yanakabiliwa na ufuatiliaji na ukosoaji mkali.