Duniani Leo Agosti 24, 2020

Your browser doesn’t support HTML5

Kundi la waasi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) laubali kuacha mapigano dhidi ya wapinzani wake wa kikabila.
Warepublikan wajiandaa kufungua mkutano mkuu wa chama kwa njia ya mtandao.