Duniani Leo : Agosti 19 : Mtazamo tofauti wa kisiasa bado wazungumziwa Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alipoingia Madarakani aliahidi kubadilisha muelekeo wa mtangulizi wake, lakini kuna mtazamo tofauti juu ya hilo kisiasa hivi sasa nchini baada ya kiongozi wa upinzani kukamatwa.
- Vurugu na taharuki zimeendelea kushuhudiwa Leo katika uwanja wa ndege wa mji Mkuu wa Afghanistan