Duniani Leo

Your browser doesn’t support HTML5

Russia imeendelea kuishambulia Ukraine kwa makombora ikitumia ndege zisizo na rubani zilizotengenezwa Iran, na kusababisha vifo vya raia.

- Maandamano makubwa yanaendelea Paris, Ufaransa kulalamikia kupanda kwa gharama ya maisha.