Dunia yaukaribisha mwaka mpya kwa shauku kubwa

Your browser doesn’t support HTML5

Ulimwengu waukaribisha mwaka mpya 2021 kwa shauku kubwa huku sherehe zikikosa mbwembwe kutokana na janga la COVID-19.
-Waasi wa ADF waua watu 25 mashariki ya DRC.

-Mkataba wa biashara huru kati ya Mataifa ya kiafrika waanza kutekelezwa Ijumaa.