Dunia yastushwa na mapinduzi ya kijeshi Mynamar

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa dunia watoa maoni tofauti kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyo fanyika Mynmar ambapo viongozi wa kiraia kadhaa wamewekwa kizuizini miongoni mwao ni Aung San Suu Kyi.
- Wabunge wa Marekani wajipanga kutekeleza mikakati ya kufufua uchumi uliowasilishwa na Rais Joe Biden.

- Watu zaidi ya kumi wamefariki kwenye shambulizi mji mkuu wa Mogadishu, Somalia