Dunia yashuhudia vurugu katika uwanja wa ndege Kabul

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii dunia imeshuhudia vurugu katika eneo la uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Hamid Karzai, Kabul, Afghanistan, wakati raia wa Marekani na Waafghanistan waliokuwa wakisaidia jeshi la Marekani wakifanya juhudi za kuondoka baada ya Taliban kuchukua udhibiti wa nchi hiyo.