DRC yamuenzi kiongozi wa kiroho aliyeasisi Kanisa la Kimbanguist

Your browser doesn’t support HTML5

Mamlaka nchini Congo imetangaza siku ya Kimbangu kuwa ni sikukuu rasmi nchini humo.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea taarifa kamili jinsi waumini wa Kanisa la Kimbanguist mjini Goma walivyopokea tamko la Rais wa Congo kuhusu siku hiyo ya kumbukumbu ya kiroho, na yale ambayo aliyafanya kiongozi huyu. Endelea kusikiliza....