Ban anasubiriwa kwa hamu DRC

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon katika picha

Wachambuzi pia wamehoji kama kuwepo nchini humio bwana Ban ataweza kutekeleza yale wanayotaka wananchi wa Drc.

Baada ya kumaliza ziara yake Bujumbura , Burundi katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon anatarajiwa kuwasili Drc ambapo wananchi wanamsubiri kwa hamu kubwa.

Wengi wana matarajio kwamba katibu mkuu wa Umoja wa mataifa atamaliza ghasia na uasi ulioharibu taifa hilo.

Your browser doesn’t support HTML5

Ban Ki Moon kutembelea Goma