DRC yaanza kutoa chanjo kwa wananchi dhidi ya Ebola

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ikishirikiana na Shirika la Afya Duniani, WHO, imeanza kutoa chanjo ya Ebola kufuatia mlipuko mpya kwa wale ambao waliokuwa hawajapatiwa.