DRC: Wazee Bukavu waboresha maisha kwa kubuni utengenezaji mbadala wa mkaa
Your browser doesn’t support HTML5
Ubunifu wajitokeza katika jamii mbalimbali kama inavyoshuhudiwa huko Bukavu, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambapo watu wanaendelea kutafuta mbinu mbadala za kujikimu kimaisha kutokana na gharama kupanda mno.