DRC: Wananchi wa Kivu na Ituri wapaza sauti juu ya usalama wao

Your browser doesn’t support HTML5

DRC imeshuhudia matukio kadhaa mwaka 2021, kilio kikubwa cha wananchi wa Kivu kaskazini na Ituri, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.
Ndugu watoa heshima zao za mwisho kwa hayati Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Desmond Tutu.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari