Wanafunzi waandamana wamtaka Rais Tshisekedi afike Beni
Your browser doesn’t support HTML5
Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari mjini Beni, Kivu kaskazini, mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia wameandamana na kumtaka Rais Tshisekedi kufika na kulitafutia ufumbuzi suala la amani yao ikiwa siku ya tatu tangu wanafunzi hao kuweka kambi katika ofisi ya Meya wa Beni.