DRC: Wakimbizi waeleza dhidi inayotokana na vita inayoendelea kuwatokomeza waasi wa M23

Your browser doesn’t support HTML5

Wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto wakaazi kutoka vijiji tofauti vya Ruchuru wakiwa wamekimbilia katika sehemu mbali mbali ikiwemo Goma kutokana na mapigano kati ya M23 na jeshi la serikali.

Hivi sasa wanaishi maisha ya dhiki kutokana na ukosefu wa huduma muhimu ikiwemo dawa, maji, chakula na makazi n.k. Ungana na mwandishi wa VOA akikuletea ushuhuda wa familia ambazo zimeathiriwa na hali hii ya kivita...