DRC: Waasi wa M23 wachukua mji wa Bunagana

Your browser doesn’t support HTML5

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limeondoka kwa hiari yake katika mji wa Bunagana na kuliachia eneo hilo kudhibitiwa na waasi wa M23.