DRC: Vitisho kutoka kwa wanasiasa na magenge ya wahalifu vinawakabili waandishi

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati dunia ikiadhimisha siku ya uhuru wa habari mwandishi wetu Byobe Malenga ambaye kituo chake cha kazi ni Kinshasa aeleza changamoto anazo kutana nazo katika eneo lake ambalo kwa kiasi fulani hughubikwa na ghasia ikiwemo vitisho, kufungwa jela na hata kupoteza maisha. Endelea kumsikiliza