DRC : Tatizo sugu la maji Goma lasababisha maradhi, ubakaji

Your browser doesn’t support HTML5

Wakazi wa Goma wanaeleza tatizo sugu la maji limesababisha milipuko ya maradhi kama kipindupindu, kuzama na pia kupelekea ubakaji kutokana na wanawake kutoka usiku mwingi kutafuta maji.