DRC: Papa apokelewa na umati mkubwa wa watu Kinshasa

Your browser doesn’t support HTML5

Papa Francis amewasili Kinshasa Jumanne kuanza ziara ya siku nne nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na baadae ataelekea Sudan Kusini.

Papa ana nia ya kuwasilisha ujumbe wa amani kwa mataifa haya mawili yanayokabiliwa na migogoro na umaskini.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari