DRC na Uturuki zasaini mikataba kadhaa ya kuimarisha ushirikiano

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi na Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan wamesaini mikitaba kadhaa ikiwemo wa kuimarisha usalama nchini humo.