DRC: Kutana na Pascal akitafuta njia mbadala ya kujikimu kimaisha karibu na kambi ya wakimbizi

Your browser doesn’t support HTML5

Kutana na Katembo Mwanga Pascal ambaye amefanikiwa kuanzisha biashara katika eneo la kambi ya watu waliopoteza makazi yao ndani ya nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Anaeleza namna vita ilivyosababisha kushindwa kutumia fani aliyosomea na badala yake kutafuta maisha. Endelea kusikiliza.