DRC : Hofu ya milipuko mipya ya Volcano yatanda Goma

Your browser doesn’t support HTML5

Maelfu ya watu wanaoendelea kuhama makazi yao Mashariki mwa DRC wakihofia mlipuko mwengine wa Volcano wanaelekea eneo ambalo limekumbwa na milipuko wa kipundupindu.
- Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) yaahidi usaidizi kwa vikosi vya usalama vya Msumbiji.

- Hatimaye wikiendi hii tunaingia katika Fainali ya Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL).