Draw ya FIFA ya Kombe la Dunia 2022 yaandaliwa Qatar

Your browser doesn’t support HTML5

Katika michezo draw ya FIFA ya Kombe la Dunia inafanyika hivi sasa timu zikiwekwa katika makundi huku matayarisho ya michuano hiyo ya kandanda nchini Qatar yakiendelea. Ungana na mwanaspoti Sunday Shomari akikuletea utaratibu mzima...