Wanaharakati wakamatwa Kenya wakilaani ukandamizaji Uganda

Your browser doesn’t support HTML5

Wanaharakati wamekamatwa na polisi nchini Kenya wakati wakipaza sauti zao kulaani unyanyasaji na ukandamizaji unaofanywa na serikali ya Uganda kwa upinzani wakati ikiingia katika Uchaguzi Mkuu.