Djokovic akataa suala la chanjo ya COVID-19 kwa wachezaji wa Tennis
Your browser doesn’t support HTML5
Djokovic apinga pendekezo la kila mchezaji wa Tennis kupewa chanjo ya virusi vya corona ikiwa utaratibu mpya wa kurejea viwanjani pale janga la virusi vya corona litakapo kwisha.