Dereva wa Hyundai aongoza mbio za magari Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Dereva wa gari aina ya Hyundai amekuwa akiongoza mbio za magari katika mashindano ya magari ya dunia yanayoendelea Kenya.