Dennis aeleza changamoto za kuzalisha mbolea kutokana na nywele

Your browser doesn’t support HTML5

Kijana mtafiti na mzalishaji mbolea Devis Dennis anaeleza changamoto za kuzalisha mbolea ya kwa kutumia nywele za binadamu anazozikusanya kutoka saluni mbalimbali mjini Arusha Tanzania ambayo inatumika kukuzia mazao hasa mbogamboga.