Dawa zilizopigwa marufuku Ulaya zazua wasiwasi Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Usalama wa Mazao na Viumbe nchini Kenya yaelezea wasiwasi wake kuhusu dawa za wadudu waharibifu zilizopigwa marufuku katika mataifa ya Ulaya ambazo zinatumika Kenya.