COVID-19 yaendelea kuitikisa Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati mwaka mpya 2021 ukianza Ijumaa Marekani imejikuta ina wagonjwa wenye maambukizi 123,000 wanaohitajika kulazwa hospitali, huku jimbo la California likiongoza kwa wagonjwa kulazwa hospitali na vifo.
- Uingereza imeanza enzi mpya hivi Leo ya kutofuata kanuni na sheria za Umoja wa Ulaya.
- Sweden na Norway waanza kuwatafuta watu 10 waliopotea katika maporomoko ya mmomonyoko wa ardhi.

- Australia kuanza kuimba mwimba wa taifa uliofanyiwa mabadiliko.