COVID-19 : WHO yazitaka serikali kutofanya haraka kuondoa masharti

Your browser doesn’t support HTML5

WHO yazitahadharisha serikali zote duniani kutofanya haraka kulegeza masharti ya kupambana na maambukizi ya COVID-19.
- Watu 28 wahofiwa kufariki katika ajali ya ndege nchini Russia.

- Seneti ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, yamuondolea kinga ya mashtaka ya ufisadi Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo.