Wabunge wa Republikan wakosoa maelekezo ya Rais Biden

Your browser doesn’t support HTML5

Wabunge wa Republikan wakosoa maelekezo ya Rais wa Marekani kuhusu chanjo ya COVID-19 katika maeneo ya kazi.
- Maoni tofauti yaibuka kuhusu Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kufanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri.

- Ndege ya kimataifa ya biashara imeondoka Kabul Jumatatu ikiwa ya kwanza tangu Taliban kuchukua Madaraka nchini Afghanistan.